Tuesday, August 25, 2009

NAKUPENDA TANZANIA

Ni kama naiota theluji, mlima wa Kilimanjaro
Ni kama naelea juu ya maji Victoria mpaka Tanganyika
Kutoka Selous, Mikumi nikiitafuta Manyara
Nikijihisi kama mtu aliye wa kwanza, nazungumzia Zinjanthropus
Ndani ya moyo wangu
Mtimani akilini mwangu
Nakupenda Tanzania!

No comments:

Post a Comment